Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amewataka Wanamsimbazi kuwa watulivu baada ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa kujiuzulu kisha kujiunga na Yanga
Mo amesema SImba ni taasisi imara iliyojengeka na haikuwahi kumtegemea mtu mmoja
βͺβ¬"Tumetoka mbali na bado safari inaendelea; tumepita mengi Wanasimba wenzangu. Nawaomba Wanasimba wote mtulie. SIMBA SC ni kubwa kuliko mtu moja. Sisi viongozi tunawatumikia usiku na mchana bila kujali maslahi ya mtu binafsi bali SIMBA. Kazi inaendelea, tuko IMARA!"
ADVERTISE HERE