Senzo ameibukia Jangwani

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Aug 2020
Senzo ameibukia Jangwani

Vita ya usajili kati ya Simba na Yanga imechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa aliyetangaza kujiuzulu mapema leo kuibukia klabu ya Yanga

Yanga wanadai kuwa wanalipa kisasi baada ya Simba kumnyakua winga wao Bernard Morrison

Tetesi zaidi zinabainisha kuwa Yanga pia wamefanikiwa kumnasa winga Deo Kanda huku Simba ikitarajiwa kumtangaza Papy Tshishimbi Jumatatu

Hakika dirisha hili la usajili miamba hawa wanaonyeshana jeuri ya pesa

Yanga wamepata jeuri kutoka kwa Mdhamini wao GSM

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’