Mtendaji Mkuu wa Simba Senzo Mazingisa ametangaza kujiuzulu nafasi yake mara moja bila ya kutaja sabubu iliyomfanya achukue uamuzi huo
Mazingisa ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa Twitter
"Ujumbe maalum wa asante kwa uongozi wa @SimbaSCTanzania kwa kunipa nafasi ya kuongoza kilabu hiki kizuri. Kwa kusikitisha nimeamua kujiuzulu kutoka kwa kilabu haraka. Katika nafasi fupi ya muda, mengi yamepatikana. Asanteni Sana wana Simba."

Hata hivyo taarifa ya kujiuzulu kwake bado haijathibitishwa na uongozi wa klabu ya Simba
ADVERTISE HERE