Nimekuja kufanya kazi Simba - Morrison

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Aug 2020
Nimekuja kufanya kazi Simba - Morrison

Winga mpya wa Simba Bernard Morrison amewaambia mashabiki wa timu hiyo wampokee na kuahidi kufanya mambo makubwa

Pamoja uamuzi wake wa kuhamia Simba kuwakera mashabiki wa Yanga, Morrison amesema kwake yeye haoni kama ni tatizo kutua Msimbazi kwani yuko kazini

"Yanga ni klabu kubwa, na Simba ni klabu kubwa pia. Najua mashabiki wa Yanga hawajafurahi mimi kuondoka lakini nawaambia wasinichukie kwani mimi nimekuja Tanzania kufanya kazi"

"Nimefurahi kukamiisha usajili wangu na Simba, nawaahidi mashabiki nitatimiza wajibu wangu kwa kushirikiana na wenzangu ili tuwape furaha," alisema Morrison

Jana Morrison alishiriki mchezo wa Tamasha la Nifuate ulioandaliwa na Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba na nahodha wa timu ya Taifa Mbwana Samatta anayekipiga timu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu ya Uingerza

Morrison aliingia uwanjani akiwa ameongozana na Afisa Habari wa Simba, Haji Manara ambaye kama ilivyo kawaida yake, alipamba uwepo wake hapo uwanjani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’