Miquissone akutana na Bosi wa soka Msumbiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Aug 2020
Miquissone akutana na Bosi wa soka Msumbiji

Baada ya kumaliza msimu vyema akiwa sehemu ya kikosi kilichotwaa taji la ligi na kombe la FA, winga wa Simba Luis Miquissone amerejea kwao Msumbiji kwa mapumziko

Alipotua tu Msumbiji Miquissone alipata fursa ya kufanya kikao na Katibu Mkuu wa shirikisho la soka la nchi hiyo

Hakuishia hapo, baada ya kikao Miquissone alimkabidhi zawadi ya jezi ya klabu ya Simba bosi huyo wa soka nchini Msumbiji

Miquissone anatarajiwa kurejea wiki ijayo tayari kwa maandalizi ya msimu mpya

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
6h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’