Baada ya Morrison kutambulishwa, Yanga wapagawa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Aug 2020
Baada ya Morrison kutambulishwa, Yanga wapagawa

Yanga imetoa tamko kuwa bado inamtambua Mghana Bernard Morrison kuwa mchezaji wao halali akiwa na mkataba wa miaka miwili

Lakini jambo la uhakika ni kwamba klabu ya Simba imejiridhisha kuwa Mghana huyo hana mkataba na Yanga ndio maana wameamua kumsajili

Morrison alisajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miezi sita ambao ulimalizika Julai 14 2020 na hakusaini mkataba wa miaka miwili kama wanavyosema Yanga

Ukweli wa jambo hilo unatarajiwa kuwekwa hadharani siku ya Jumatatu, pale kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji itakapotoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Morrison dhidi ya Yanga

Morrison alipeleka malalamiko TFF akikana kusaini mkataba huo wa Yanga huku akibainisha kuwa saini inayoonekana kwenye mkataba huo sio yake

Pengine jambo hilo huenda likawaingiza matatani zaidi viongozi wa Yanga kama itathibitika walighushi saini ya Mghana huyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’