Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani saa nane mchana wa leo kuna habari njema kwao
Mpaka sasa Simba bado haijatangaza usajili wake ingawa inafahamika kuna michakato ya usajili inaendelea kufanyika kwa ajili ya maboresho ya timu
Pengine leo kutakuwa na utambulisho wa mashine mpya zinazoingia Msimbazi
Je ni yeye?, Muda ni saa nane mchana...!
ADVERTISE HERE