Chama ataja siri ya 'kusepa' na tuzo zote

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Aug 2020
Chama ataja siri ya 'kusepa' na tuzo zote

Kiungo Mzambia Clatous Chama jana alisepa na tuzo mbili kwenye hafla ya utlewaji tuzo za ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2019/20

Chama alishinda tuzo ya kiungo bora pamoja na tuzo kubwa kabisa ya mchezaji bora wa msimu

Chama amefichua kuwa siri kubwa ya mafanikio yake ni ushirikiano mzuri anaopata kutoka kwa wachezaji wenzake pamoja na uungwaji mkono wa mashabiki

Aidha Mwamba huyo wa Lusaka amesema mwanzoni mwa msimu alikosolewa sana, alichukua hiyo kama changamoto iliyomfanya ajiimarishe na kuwa mchezaji bora zaidi

"Nimekosolewa sana msimu huu, nawashukuru wote walionikosoa na walinitia moyo kwani wamechangia kunifanya niwe hapa," alisema Chama

"Lakini pia mafanikio haya yamekuja kwa sababu niko katika timu bora, nimepata ushirikiano kutoka kwa wachezaji wenzangu, nawashukuru sana"

Chama pia alishinda tuzo ya mchezaji bora wa michuano ya kombe la FA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’