Kiungo wa Simba Clatous Chama ametangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu ligi kuu ya Vodacom
Chama ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda Bakari Nondo Mwamnyeto na Nicolas Wawa
Mzambia huyo pia aliondoka na tuzo ya kiungo bora wa msimu
Hakika ulikuwa msimu mzuri kwa Chama, tuzo zote ni stahili yake
ADVERTISE HERE