Kama ilivyotarajiwa, mwamba wa Lusaka, Clatous Chama ametwaa tuzo ya kiungo bora wa ligi kuu ya Vodacom msimu uliomalizika
Ni tuzo ambayo kwa hakika, alistahili kushinda
Chama ndiye aliyekuwa kinara wa pasi za mabao akitoa assist 10 kwenye ligi akiwa na kikosi cha Simba
Kocha wa zamani wa Simba Jamhuri Kihwelo Julio ndiye aliyemkabidhi Chama tuzo hiyo
ADVERTISE HERE