Kwa msimu wa nne mfululizo, mlinda lango wa Simba Aishi Manula ametwaa tuzo ya golikipa bora
Manula ametangazwa kuwa mshindi kwenye hafla ya utolewaji tuzo kwa nyota waliofanya vizuri ligi kuu ya Vodacom msimu uliomalizika
Hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE