Fraga au Tshishimbi?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Aug 2020
Fraga au Tshishimbi?

Achana na tetesi za winga Mghana Bernard Morrison ambaye 'anatrend' kwenye mitandao ya kijamii kuwa anaweza kutambulishwa kuwa mchezaji halali wa mabingwa wa nchi Simba baada ya mkataba wake wa miezi sita kumalizika kunako klabu ya Yanga

Inaelezwa uongozi wa Simba huenda ukamgeukia aliyekuwa nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi ambaye nae ni mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika

Mapema wiki hii Yanga ilitangaza kuachana na Tshishimbi pamoja na nyota wengine 14 kwa kile kilichoelezwa kushindwa kufikia makubaliano ya dau la usajili

Lakini kwenye eneo la kiungo cha ukabaji Simba inae Mbrazil Gerson Fraga ambaye amemaliza msimu akiwa mmoja wa wachezaji bora kabisa wa kikosi cha Simba

Hata hivyo inaelezwa suala la mshahara wa nyota huyo ni changamoto na hivyo Simba wanaangalia uwezekano wa kumsajili Tshishimbi ambaye watampata kwa gharama nafuu zaidi

Tshishimbi ameonyesha utayari wa kujiunga na Simba kama machampioni hao wa nchi watataka huduma yake

Hivi karibuni klabu ya Azam Fc ambayo ilikuwa ikihusishwa nae ilimsajili kiungo Mnyarwanda Ally Niyonzima na hivyo kumfanya mchezaji huyo kuwa na nafasi ya kutua Msimbazi kutegemeana na mapendekezo ya benchi la ufundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’