Hafla ya utolewaji tuzo za VPL msimu wa 2019/20 itafanyika ukumbi wa Mlimani City, leo Ijumaa August 07 2020
Miongoni mwa nyota wa Simba ambao wana nafasi kubwa ya kuondoka na tuzo ni mlinda lango Aishi Manula anayewania tuzo ya kipa bora kwa msimu wa nne mfululizo
Lakini pia kiungo Mzambia Clatous Chama, anawania tuzo ya kiungo bora na mchezaji bora wa msimu
Hafla hiyo itaanza saa 12 jioni na itarushwa mbashara na Azam Sport 2
ADVERTISE HERE