Morrison ananukia Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Aug 2020
Morrison ananukia Msimbazi

Kuna uwezekano winga Mghana Bernard Morrison akatangazwa kuwa mchezaji wa Simba

Taarifa za uhakika ni kuwa nyota huyo imebainika kuwa hakusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Yanga kama wenyewe walivyosema

Mkataba wake wa miezi sita na Yanga ulimalizika Julai 14 na hivyo kuanzia siku hiyo Morrison alikuwa mchezaji huru

Kwa miezi kadhaa Morrison amekuwa akihusishwa na klabu ya Simba na tetesi zinadai kuwa 'mpanda mpira' huyo anaweza kutangazwa kuwa mali ya mabingwa wa nchi wakati wowote

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’