Namungo yawataka Ajibu, Kichuya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Aug 2020
Namungo yawataka Ajibu, Kichuya

Uongozi wa klabu ya Namungo FC umethibitisha kuhitaji saini za wachezaji Ibrahim Ajibu na Shiza Kichuya kutoka Simba ili kuongeza nguvu kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao.

Mwenyekiti wa klabu hiyo, Hassan Zidadu amesema majina ya nyota hao ambao wamekosa nafasi kwenye kikosi cha Simba yapo kwenye orodha ya kocha Hitimana Thierry anaowahitaji.



Zidadu amesema ripoti ya mwalimu imefika jana na kesho watakaa kuijadili kabla ya kuanza kusuka kikosi kwa ajili ya msimu ujao

"Ni kweli ripoti ya mwalimu imeainisha kuhitaji saini ya Ajibu na Kichuya pamoja na wachezaji wengine ambao siwezi kuwataja hapa," amesema Zidadu

Tangu dirisha la usajili lilipo funguliwa Namungo imekamilisha usajili wa mchezaji mmoja tu ambaye ni Fred Tangalu kutoka Lipuli Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’