Kiungo raia wa Sudan Sharaf Elding Shiboub hatakuwepo kwenye kikosi cha mabingwa wa Tanzania Simba baada ya mkataba wake kumalizika.
Shiboub alianza vizuri mwanzoni mwa msimu kabla ya hali kubadilika kadri siku zilivyokuwa zinaenda nakujikuta anakosa namba kwenye kikosi cha kwanza.
Tayari fundi huyo wa kuchezea mpira ameondoka nchini kurejea kwao Sudan tayari kwa kujiandaa na maisha mengine ya soka nje ya Simba
ADVERTISE HERE