Simba Queens imetwaa ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake baada ya kuichapa Baobab Queens mabao 5-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru
Simba Queens walihitaji angalau alama moja kutoka mchezo huo, ushindi umewahakikishia kuwavua ubingwa JKT Queens
Haya ni mafanikio makubwa kwa vijana ya Mussa Mgosi ambao huu ni msimu wa tatu tangu uongozi wa Simba ulipoiunda timu ya Wanawake
Simba sasa imeshinda mataji ya mashindano yote yanayosimamiwa na TFF msimu huu kwa timu ya Wanaume na Wanawake
ADVERTISE HERE