Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya
Kichuya alirejea kwenye kikosi cha mabingwa hao wa nchi mwezi Januari akitokea kule Misri
Bado hajaweza kurejesha makali yake ya zamani, atahitaji kupambana kwelikweli kuhakikisha anamrejesha Kichuya yule aliyetoa assist 28 msimu wa 2017/18
Heri ya siku ya kuzaliwa mwamba...!
ADVERTISE HERE