Happy BirthDay John Bocco

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Aug 2020
Happy BirthDay John Bocco

Tarehe kama ya leo alizaliwa nahodha wa Simba John Bocco 'Adebayor'

Bocco amekuwa shujaa katika misimu yake mitatu aliyowatumikia mabingwa hao wa nchi akitokea klabu ya Azam Fc

Ni mchezaji ambaye kasi yake ya kuzifumania nyavu haichuji

Tangu apone majeraha, Bocco alirejea kikamilifu kwenye kikosi cha kwanza akiwa chachu cha ya ushindi wa Simba kwenye karibu kila mchezo aliokuwa dimbani

Ni juzi tu aliifunga moja ya mabao ya Simba kwenye ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namungo Fc na kuipa Simba ubingwa wa kombe la FA

Huyu ndio 'Papaa' John Bocco, Tunamtakia kila lakheri katika siku hii muhimu kwake

Happy BirthDay John Bocco....!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’