Simba Queens kutangaza ubingwa ligi ya Wanawake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Aug 2020
Simba Queens kutangaza ubingwa ligi ya Wanawake

Leo Simba Queens wanaweza kuondoka na taji la Ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake kama watapata ushindi dhidi ya Baobab Queens

Simba Queens inaongoza ligi ikiwa na alama 50, alama nne juu ya JKT Queens yenye alama 46 na timu hiyo ikiwa imesalia na michezo miwili

Wakishinda leo, Simba Queens watakuwa mabingwa huku wakiwa na mechi mbili mkononi

Huu utakuwa msimu wa mafanikio kwa kampuni ya Simba Sc kwani tayari timu ya Wanaume 'imesepa' na mataji yote

Haya ndio matundani ya uwekezaji ambayo kila Mwanasimba anajivunia kwani mafanikio kila mahali sasa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’