Kiungo wa Simba Clatous Chama amekabidhi msaada wa Tsh. 1 milioni katika kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam
Ni sehemu ya jiwa ahadi yake aliyoitoa jana wakati anakabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Simba iliyotolewa na mdhamini mkuu kampuni ya SportPesa
Chama aliahidi kuzitoa fedha hizo kusaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu
ADVERTISE HERE