Kagere aenda mapumziko Rwanda

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Aug 2020
Kagere aenda mapumziko Rwanda

Mfungaji bora ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2019/20 Meddie Kagere amerejea mapumziko nchini kwao Rwanda

Kagere amemaliza msimu kibabe akipachika mabao 22 na kuondoka na kiatu cha dhahabu

Amefanya hivyo kwa msimu wa pili mfululizo, msimu uliopita akifunga mabao 23

Baada ya kuwaongoza mabingwa hao wa nchi kutwaa mataji matatu, Kagere na wachezaji wengine wa Simba wanakwenda likizo kuziona familia zao kabl ya kurejea nchini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’