Vandenbroeck ajisafishia njia Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Aug 2020
Vandenbroeck ajisafishia njia Simba

Juzi baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namungo Fc na kuihakikishia Simba kutwaa taji la tatu msimu huu, msemaji wa Simba Haji Manara aliwajia juu Wanahabari waliokuwa wakihoji hatma ya kocha mkuu wa mabingwa hao wa nchi Sven Vandenbroeck ambaye wiki za karibuni tetesi zimekuwa nyingi kuwa Simba inaweza kuachana nae

Manara aliwataka wanahabari kuacha kupika habari ambazo zinaweza kuwavuruga Wanasimba wakati huu ambao wanafaidi mafanikio ya umoja wao

"Acheni kuhoji mambo ambayo hayapo. Yani sisi tumuache kocha wetu kwa sababu ipi. Sisi ndio mabingwa wa nchi hii, chini yake tumechukua mataji yote tuliyoshiriki, halafu mnasema je?," alin'gaka Manara

"Andikeni mambo mengine yota lakini tafadhari, msitugombanishe na kocha wetu, msiandike mambo ambayo hayapo"

Inaelezwa Sven anatarajiwa kuongezewa mkataba mpya,Β  mkataba wake wa awali wa miezi sita ukiwa umemalizika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’