Chama aongoza wanaowania tuzo VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Aug 2020
Chama aongoza wanaowania tuzo VPL

Kiungo wa Simba Clatous Chama ametajwa miongoni mwa nyota watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa VPL msimu wa 2019/20

Chama anachuana na walinzi Nicholas Wawa na Bakari Nondo Mwamnyeto

Aidha Chama pia anawania tuzo ya kiungo bora wa msimu

Mmakonde Luis Miquissone yeye ametajwa kuwania tuzo ya goli bora la msimu alilofunga kwenye mchezo dhidi ya Alliance Fc

Tuzo zitatolewa August 07 ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’