Chama akabidhiwa tuzo ya Sportpesa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Aug 2020
Chama akabidhiwa tuzo ya Sportpesa

Mapema leo kiungo mahiri wa Simba Clatous Chotta Chama maarufu Mwamba wa Lusaka, alikabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa Sportpesa kwa kikosi cha Simba msimu wa 2019-20

Abbas Tarimba Mkurugenzi wa Utawala SportPesa alimkabidhi Mzambia huyo tuzo na kitita cha Tsh Milioni Moja baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki

Jana Chama pia alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya FA huku akiwa nafasi kubwa ya kuibuka kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Vodacom, VPL

Msimu huu ulikuwa mzuri sana kwa Chama ambaye aliibuka kinara wa kutoa pasi za mabao kwenye ligi, akitoa pasi 10 zilizozaa magoli

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’