Umati wa mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuilaki timu yao Simba iliyorejea mapema leo kutoka mkoani Rukwa ambako jana walitwaa ubingwa wa FA na kukamilisha idadi ya mataji matatu msimu huu
Mashabiki wengi walionekana tangu mabingwa hao wa nchi walipotua uwanja wa Ndege mpaka Msimbazi
Kwa hakika, Simba ndio baba wa soka la Tanzania, This is Next Level..!









ADVERTISE HERE