Muda mchache ujao kikosi cha mabingwa wa soka nchini, Simba kitawasili jijini Dar es salaam wanakosubiriwa kwa mapokezi ya kihistoria
Simba itatua Dar ikiwa na makombe mawili mkononi, taji la ligi kuu na lile la FA ambalo wailitwaa jana kule Sumbawanga baada ya kuichapa Namungo Fc mabao 2-1
Wababe hao wa soka nchini waliondoka mkoani Mbeya mapema leo kurejea jijini Dar es salaam wanakosubiriwa na mashabiki wao
Kutakuwa na shamrashamra kutoka uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere mpaka Kariakoo Msimbazi yalipo Makao Makuu ya mabingwa hao wa nchi
ADVERTISE HERE