Uongozi wa klabu ya Simba umewataka mashabiki wake wa jijini Dar es salaam kujiandaa kuipokea timu yao hapo kesho Jumatatu ikitokea Rukwa ambako leo imefanikiwa kutwaa ubingwa wa FA kwa kuifunga Namungo Fc mabao 2-1

ADVERTISE HERE