Simba yakabidhiwa kombe FA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Aug 2020
Simba yakabidhiwa kombe FA

Simba imekabidhiwa ubingwa wa FA waliotwaa leo baada ya kuifunga Namungo Fc mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga

Simba imetwaa taji hilo kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka mitano

Walishinda kwa mara ya kwanza mwaka 2017

Lakini ushindi wa msimu huu umebeba mafanikio makubwa, taji hilo limeambatana na mataji mengine mawili, ligi kuu na Ngao ya Jamii

This is Simba Brother...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’