Kiungo fundi wa Simba Clatous Chama ameibuka kuwa mchezaji bora michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kwa msimu wa 2019-20
Chama aling'ara kwenye michuano hiyo iliyomalizika huku akiwa na mabao manne kibindoni
Ni tuzo aliyostahili, kila Mwanamsimbazi alitarajia atapewa tuzo hiyo
ADVERTISE HERE