Kiungo mshambuliaji wa Simba Luis Miquissone ameibuka kuwa nyota wa mchezo wa fainali kombe la FA kati ya Simba dhidi ya Namungo Fc uliomalizika kwa Simba kushinda mabao 2-1 na kuibuka mabingwa
Miquissone alikuwa mwiba mchungu kwa walinzi wa Namungo Fc akifunga bao moja na kutengeneza bao jingine
Tuzo hiyo imempa kitita cha Tsh Laki Tano
ADVERTISE HERE