Ni fainali ya kibabe Simba vs Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Aug 2020
Ni fainali ya kibabe Simba vs Namungo Fc

Mikiki mikiki ya michuano ya kombe la FA (ASFC) inafika tamati leo kwa mabingwa wa nchi Simba kumenyana na Namungo Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga

Wakiwa wameshasherehekea ubingwa wa ligi kuu, hii ni nafasi kwa Simba kujiongezea taji la tatu msimu huu

Kudhihirisha kwamba Simba inauchukulia mchezo huo kwa uzito mkubwa, kocha mkuu Sven Vandenbroeck amesema atatumia kikosi chake cha kwanza

Nae Meneja wa mabingwa hao wa nchi Patrick Rweyemamu amesema vijana wote wako tayari kuwapa furaha mashabiki katika mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa tisa Alasiri

Kila la kheri Simba, kila la kheri mabingwa wa nchi..

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’