Jioni ya leo wachezaji wa Simba walipata nafasi ya kukagua uwanja wa Nelson Mandela ambao utatumika kesho Jumapili kwenye mchezo wa fainali kombe la FA dhidi ya Namungo Fc
Uwanja huo ulifanyiwa ukarabati ikiwa ni pamoja na kupandwa upya nyasi ili miamba hao waliotinga fainali wawape burudani wakazi wa Rukwa ambao wamekosa burudani ya soka kwa miaka mingi


ADVERTISE HERE