Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba wako tayari kwa mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambao utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga
Simba imekamilisha maandalizi ya mwisho jioni ya leo tayari kwa mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka



ADVERTISE HERE