Nyoni atimiza ndoto ya ulimwengu Sumbawanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Aug 2020
Nyoni atimiza ndoto ya ulimwengu Sumbawanga

Bwana mdogo Jumanne Ulimwengu hakuamini macho yake leo pale alipokabidhiwa baiskeli mpya na beki mkongwe Erasto Nyoni

Jana Nyoni alimpa dogo huyo jezi mpya baada kumuona akiwa amevaa nguo aliyoiandika jina lake mgongoni

Wakati akikabidhiwa jezi hiyo, Ulimwengu alimuomba Nyoni amnunulie baiskeli ambayo itamsaidia na safari za shuleni

Nyoni ametimiza ahadi hiyo mapema leo huko Sumbawanga

Heshima kwake Erasto Nyoni, jambo hili ni kubwa sana, kwa hakika litabaki kwenye kumbukumbu za kijana Ulimwengu kwa miaka mingi

Lakini pia hivi ndivyo mastaa wanapaswa kuishi, wao ni sehemu ya jamii, wanapofanya matukio kama haya Wanabarikiwa zaidi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’