Leo kwa mara ya kwanza mabingwa wa nchi Simba walipata nafasi ya kufanya mazoezi mjini Sumbawanga yakiwa ni maandalizi ya mchezo wa fainali kombe FA dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Nelson Mandela
Kabla ya kufanya mazoezi jioni, mapema wachezaji wa Simba walishiriki matukio na shughuli maalum za kijamii kwa kutembelea vituo vya kukuza vipaji vya soka




ADVERTISE HERE