Mapema leo, mabingwa wa nchi Simba walitembelea vituo vya kulelea watoto wenye vipaji vya soka, Zack Academy, Bangwe Sports Centre na Mazwi Sekondari ikiwa ni sehemu ya shughuli ya kijamii kuelekea Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) itakayochezwa Jumapili Agosti 2 Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga


ADVERTISE HERE