Klabu ya Simba inatajwa kumalizana na beki wa kulia wa Lipuli Fc, David Kameta 'Duchu'
Duchu ni mmoja wa wachezaji waliofanya vizuri sana katika ligi kuu ya Vodacom iliyomalizika wiki iliyopita licha ya timu yake kushuka daraja
Inaelezwa amepewa mkataba wa miaka mitatu
Simba inaendelea na mchakato wa kuboresha kikosi wakianza na usajili wa wachezaji wa ndani
Nyota mwingine anayesubiri kutambulishwa na mabingwa hao wa nchi ni winga/mshambuliaji Charles Ilanfya kutoka klabu ya KMC
ADVERTISE HERE