Mabingwa wa nchi Simba wamewasili salama Sumbawanga mkoani Rukwa tayari kwa mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Namungo Fc
Simba iliwasili Sumbawanga ikitokea mkoani Mbeya ilikokuwa imeweka kambi ya siku tatu
Idadi kubwa ya mashabiki walijitokeza kuwalaki mabingwa hao wa ligi kuu ya Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo





ADVERTISE HERE