Fraga kupewa mkataba mpya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jul 2020
Fraga kupewa mkataba mpya Simba

Benchi la Ufundi na Bodi ya Wakurugenzi wa Simba kwa pamoja wamekubaliana kumbakisha kiungo mkabaji raia wa Brazil, Gerson Fraga

Kiungo huyo ni kati ya wachezaji waliokuwa wakihusishwa kuachwa Simba katika kuelekea msimu ujao akiwemo na Mbrazili mwenzake, Tairone Santos ambao walijiunga pamoja mwanzoni mwa msimu huu.

Taarifa zinaeleza kuwa Fraga hataachwa na badala yake ataongezewa mkataba kuendekea kukipiga na mabingwa hao wa nchi.

Fraga ni mmoja wa wachezaji wa Simba ambao viwango vyao vimeimarika sana hasa baada ya mapumziko ya Corona

Nahodha huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Vijana ya Brazil, sasa anaaminiwa na kocha Sven Vandenbrock anayemtumia mara kwa mara kwenye kikosi chake cha kwanza

Fraga alifunga moja ya mabao ya Simba katika mchezo dhidi ya Yanga ambao mabingwa hao wa nchi waliondoka na ushindi wa mabao 4-1

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
44m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’