Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Simba kesho Jumanne kitaendelea kujifua kwenye uwanja wa Bandari, Tandika jijini Dar es salaam.
Simba itakuwa na muda wa kutosha kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 16 dhidi ya Ruvu Shooting.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Taifa, Jumapili ijayo, Februari 04.
Katikati ya wiki hii michezo ya kombe la FA inatarajiwa kupigwa kwa timu ambazo zilifuzu hatua ya 32 bora.
Simba iliondoshwa kwenye michuano hiyo na sasa imepania kutwaa taji la ligi kuu ya Vodacom ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya Kimataifa msimu ujao.
Simba inaongoza ligi ikiwa imejikusanyia alama 35, alama tano zaidi ya Azam FC iliyo nafasi ya pili.

ADVERTISE HERE