Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimeondoka mkoani Mbeya kuelekea mkoani wa Rukwa, Sumbawanga kwa ajili ya mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa Jumapili, August 02 katika uwanja wa Nelson Mandela
Simba iliweka kambi ya siku tatu mkoani Mbeya kujiandaa na mchezo huo



ADVERTISE HERE