Simba yakamilisha maandalizi Mbeya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jul 2020
Simba yakamilisha maandalizi Mbeya

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba, kimekamilisha maandalizi ya mwisho mkoani Mbeya kuelekea mchezo wa fainali michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Namungo Fc

Leo asubuhi Simba ilikamilisha mazoezi yake kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa safari ya Sumbawanga

Simba inaondoka leo Mbeya kuelekea Sumbawanga tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa uwanja wa Nelson Mandela siku ya Jumapili

Wakati Simba ikitarajiwa kutua Sumbawanga leo, wapinzani wao Namungo Fc wao waliwasili mkoani Rukwa tangu juzi

Timu zote zinatarajiwa kushiriki shughuli za kijamii siku ya Jumamosi kabla ya mtanange unaosubiriwa Jumapili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
13h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
19h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’