Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF) limewataja waamuzi watakaochezesha mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam kati ya mabingwa wa ligi kuu Simba dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumapili, August 02 kwenye uwanja wa Nelson Mandele, Sumbawanga Rukwa
Mchezo huo utasimamiwa na Waamuzi sita

ADVERTISE HERE