Vijana wako tayari 'kukichafua' Nelson Mandela

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2020
Vijana wako tayari 'kukichafua' Nelson Mandela

Kocha Mkuu wa Simba Sven vandenbroeck amesema maandalizi ya kikosi chake kuelekea mchezo wa fainali kombe la FA (ASFC) dhidi ya Namungo Fc yanaendelea vizuri, vijana wake wakiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri kwenye mchezo huo

Sven amesema amewaandaa vijana wake kucheza soka la ushindani kwenye uwanja wa kawaida na muhimu zaidi ni kuhakikisha wanashinda taji la pili msimu huu

"Maandalizi ni mazuri kila mmoja yupo sawa. Jambo muhimu ni kujiandaa kiakili kucheza kwenye uwanja wa kawaida na kuwa tayari kushinda mataji mawili kwenye msimu huu," amesema Sven kwenye maandalizi ya timu hiyo mkoani Mbeya

Simba imeweka kambi ya siku tatu mkoani Mbeya kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuelekea Sumbawanga, ambako mchezo huo utapigwa hapo Jumapili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’