Kwa wakazi wa Rukwa, hivi hapa viingilio vya mchezo wa fainali ASFC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2020
Kwa wakazi wa Rukwa, hivi hapa viingilio vya mchezo wa fainali ASFC

Mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba dhidi ya Namungo Fc, unatarajiwa kuchezwa siku ya jumapili Julai 2, 2020 kwenye uwanja wa Nelson Mandela mkoani Rukwa ikiwa ni fainali ya tano tangu kuzinduliwa upya kwa mshindano hayo yalidumu kwa miaka kadha.

Chama cha soka mkoani Rukwa kimetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utazikutanisha Simba SC dhidi ya Namungo FC ukiwa ni wa mwisho kufunga rasmi msimu wa soka mwaka 2019/20.

Bei za tiketi kwenye uwanja na Nelson Mandela unachukua watazamaji 30,000 zitauzwa Tsh 10,000 kwa mzunguko na 30,000 kwa jukwaa kuu (VIP), Mechi hii inatarajiwa kuchezwa majira ya saa tisa Alasiri

Aidha chama cha soka mkoa Rukwa kimesema kuwa mchezo huo utaingiza takribani watazamani 25,000 na kutokana na kuchukua tahadhari za ugonjwa wa Corona.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’