Kiungo Mzambia Clatous Chotta Chama 'CCC' ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu inayotolewa na kampuni ya SportPesa, Wadhamini wa klabu ya SImba
Chama ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Simba
Kinara huyo wa pasi za mabao kwenye ligi kuu ya Vodacom, atajipatia kitita cha Tsh Milioni Moja kutoka kwa SportPesa
ADVERTISE HERE