Jana kocha wa Yanga Luc Eymael alitoa kauli za kibaguzi dhidi ya mashabiki wa timu hiyo baada ya mchezo dhidi ya Lipuli Fc
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza kumchukulia hatua Mbelgiji huyo ambaye tayari klabu yake ya Yanga imetangaza kumfuta kazi

ADVERTISE HERE