Okwi aongoza mbio za kiatu cha dhahabu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2018
Okwi aongoza mbio za kiatu cha dhahabu
Emanuel Okwi wa Simba anaongoza mbio za kuwania kiatu cha dhahabu akiwa amepachika mabao 12.

Obrey Chirwa wa Yanga, John Bocco (simba), Mohammed Rashidi (Prisons) na Habibu Kiyombo wa Mbao FC hawa wote wamefunga mabao saba kila mmoja

Wenye mabao sita ni Shiza Kichuya wa Simba na Asante Kwasi wa Simba pia. Hata hivyo Kwasi mabao yake matano aliyapachika wakati akiwa Lipuli FC.

Ibrahim Ajib wa Yanga na Marcel Kaheza wa Majimaji wana mabao matano kila mmoja.

Wakati Paul Nonga wa Mwadui FC na Eliud AMbokile wa Mbeya City wanakamilisha orodha ya vinara 10 wakiwa wamefunga mabao manne kila mmoja.

Msimu uliopita aliyekuwa winga wa Yanga Saimon Msuva na Abdulrahmani Mussa wa Ruvu Shooting walifungana kwa kufunga mabao 14.

Msimu huu huenda kinara wa mabao akaweza kufunga zaidi ya mabao yaliyofungwa na washindi wa msimu uliopita.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’