Simba kujichimbia Mbeya kabla ya kwenda Rukwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jul 2020
Simba kujichimbia Mbeya kabla ya kwenda Rukwa

Baada ya kumaliza ligi msimu 2019-20 kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania hapo jana, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba kimeondoka mkoani Kilimanjaro leo kuelekea Mbeya

Simba inatarajiwa kuweka kambi mkoani Mbeya kwa siku chache kabla ya safari ya Rukwa, Julai 30

Mabingwa hao wa nchi watachuana na Namungo Fc August 02 katika mchezo wa fainali ya kombe la FA (ASFC) ambao utapigwa uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’